
Ramani ya Nigeria
Milipuko miwili imetokea katika kituo cha mabasi katika vitongoji vya mji mkuu wa Nigeria, Abuja, na kuna taarifa ya watu wengi kujeruhiwa kwa mujibu wa watu walioshuhudia tukio hilo.
Mwandishi wa BBC, nchini Nigeria, Haruna Tangaza anasema milipuko hiyo ilitokea wakati abiria wakiwa katika harakati za kupanda mabasi nateksi wakienda maofisini katikati ya mji wa Abuja.
Taarifa zinazohusiana
Ajali Africa