Showing posts with label matukio. Show all posts
Showing posts with label matukio. Show all posts

MAAJABU ::JIONEE PICHA AJIFUNGUA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 5 NDIE MWANAMKE MDOGO DUNIANI KUJIFUNGUA


     Lina Medina aliyezaliwa tarehe 27 Sept. 1933, huko Ticrapo, mkoa wa Huancavelica, nchini Peru, anatajwa kua Mama mwenye umri mdogo kuwahi kutokea katika historia ya Ulimwengu.
Tarehe 14 Mei 1939 Lina akiwa na umri wa miaka 5 na miezi 7, alijifungua mtoto wa Kiume aliye mpa jina la Gerardo Medina. 
Ilianzaje? Mwanzoni mwa mwezi Machi 1939 wazazi wa Lina ~ Tiburelo Medina na Victoria Losea waliamua kumpeleka Hospitali baada ya kuona tumbo likiongezeka kupita kiasi.Wazazi wa Lina walidhani huenda ana uvimbe tumboni, lakini madaktari waligundua kua alikua ana ujauzito wa miezi 7. Dr. Gerardo Lozada aliamua kumpeleka Lina kwa wataalam zaidi nao wakathibitisha kua ni kweli alikua mja mzito. 
Alizaaje? Mwezi mmoja na nusu baada ya kupelekwa hospitali kwa mara ya kwanza, Lina alijifungua mtoto wa kiume kwa njia ya upasuaji, kutokana na njia yake ya uzazi kua ndogo. Upasuaji ulifanywa na Dr. Lozada, Dr. Busalleu, na Dr. Colareta. 
Alivunja Ungo lini? Dr. Edmundo Escomel alitoa ripoti kamili juu ya kesi ya Lina kupitia jarida maalum la maswala ya kiafya na matibabu liitwalo La Presse Médicale. Ripoti hii ilibainisha kwamba Lina alianza kupata siku zake tangu akiwa na umri wa miezi 8, alitofautiana na ripoti ya awali iliyosema kua amekua akiona siku zake tangu alipokua na umri wa miaka 3. Ripoti hii pia ilisema kua Lina alianza kuota maziwa akiwa na umri wa miaka 4, alipofikisha miaka 5 nyonga yake ilikua imesha tanuka. 
Alizaa mtoto gani? Mtoto alizaliwa na uzito wa kilo 2.7 na alipewa jina la daktari wake Gerardo.
Gerardo alilelewa akijua kwamba lina ni dada yake lakini alikuja kujua ukweli akiwa na umri wa miaka 10.
Gerardo aliendelea kukua akiwa mtoto mwenya afya njema lakini alifariki mwaka 1979 akiwa na miaka 40 kwa ugonjwa wa mifupa ujulikanao kwa jina la kitaalam la Bone marrow.
Nani Baba wa mtoto? Lina hajawahi kumtaja baba wa mwanae wala mazingira yaliyopelekea yeye kupata mimba. Dr. Escomel alipendekeza kwamba inawezekana hata Lina mwenyewe alikua hajui, na kusema kua hakutoa majibu yanayo jitosheleza. 
Tuhuma kwa baba mzazi: Hata hivyo Baba mzazi wa Lina alikamatwa na kushitakiwa kwa kosa la Unyanyasaji wa kingono wa mtoto (Child Sexual Abuse) lakini aliachiwa baadae baada ya kukosekana ushahidi wa kutosheleza. Na hivyo basi Baba halisi aliyempa mimba Lina hakuwahi kujulikana 
Maisha ya Lina baadae:
Miaka kadhaa baadae Lina aliolewa na Raúl Jurado ambaye mwaka 1972 walipata mtoto wa kiume. Lina yupo hai mapaka sasa na anaishi maisha ya kimasikini huko Lima nchini Peru

WEMA SEPETU Awachefua Mashabiki Wake..Baadhi Waamua Kumtolea Uvivu kwa Udhalilishaji Anaojitakia Mwenyewe



Wema Sepetu unawaumiza mashabiki wako.....najua hutapenda kuona maoni ya namna hii ila ni muhimu sana uone upande huu maana huo ndo ukweli halisi wa mashabiki wako hivi sasa. Hali si nzuri watu wako njia panda, umewachanganya...kama kweli unajali, wasaidie kwa kufanya mema. Ni wewe tu ndo unaweza kuondoa udhalilishaji unaoendelea si yeyote mwingine. @martinkadindasamahan naomba umzabe kofi moja la nguvu akili irudi ajue yeye ni nani anapaswa kufanya nini na watu wake wategemee nini kutoka kwake. How can we be Wema wkt yeye hayafanyi hayo mema??? We want to see more pics of #BeWemaFanyaWema not those stupid pictures zinazozunguka.... u

Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam UDSM Champa Tuzo Mwanamuziki Diamond Platnumz




Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Kimempatia Mwanamuziki  Diamond Platinumz Tuzo ya  the most inspiring Young Man as a music icon..Tuzo Hiyo ilipokelewa na Mwanamuziki Nick wa Pili kwa Niaba yake kwani yeye alishindwa kufika katika Hafla ya utoaji wa Tuzo hizo kutokana na Ratiba zake kumbana....Hongera Kijana unazidi kutupiga gap tu.......

Niki wa Pili Ameandika Hivi Kupitia Ukurasa wake wa Instagram:

Agness Masogange"Makalio Yangu Hunifanya Nikose Amani Mtaani"

VIDEO Queen maarufu Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ ambaye muda mwingi amekuwa akiishi Afrika Kusini ameelezea jinsi maisha ya Bongo yalivyomchosha huku usumbufu anaopata kutokana na makalio yake makubwa ikiwa moja ya sababu. 
Akipiga stori mwandishi wetu, Masogange alisema umbile lake hilo limekuwa likimfanya akose amani anapokatiza mitaani, tofauti na Sauzi ambako wanawake wengi wamefungashia huku yeye akionekana ‘cha mtoto’.
 


HATARI! KINYESI CHA PANYA, MKOJO WA BINADAMU VYATUMIKA KWENYE VIPODOZI

HATARI! KINYESI CHA PANYA, MKOJO WA BINADAMU VYATUMIKA KWENYE VIPODOZI

Kinyezi cha panya na mkojo wa binadamu ni baadhi ya viungo vinavyotumika kutengeza bidhaa ghushi za urembo.
Je wewe ni mnunuzi wa bidhaa za urembo? Tahadhari.
Kinyesi cha panya na mkojo wa binadamu ni baadhi ya viungo vinavyotumika kutengeza bidhaa ghushi za urembo.

Utafiti wa bidhaa za urembo zinazouzwa kwa njia ya mtandao nchini Uingereza umebaini kuwa bidhaa hizo zina tengezwa kwa njia isiyofata maadili na kulinda afya ya binadamu.
Utafitri huo uliochunguza bidhaa za urembo kama vile vipodozi marashi na mafuta ya kujipaka iligundua kuwa zinaongezwa madini ya sumu kama vile arsenic.
Kwa mujibu wa Polisi waliotekeleza uchunguzi huo, mfumuko wa bei ya bidhaa kwa njia za kielektroniki kumechangia pakubwa ongezeko la mauzo ya bidhaa gushi.

PICHAZ: [AIBU] BAADA YA KULEWA WAAMUA KUFANYA MAMBO HADHARANI BILA KUWA HAYA!

‘Thirsts’ are dangerous things to have as they always lead to some strange habits. Mix the thirst with booze and it gets difficult to keep one’s hands to themselves.

Huyu House Girl Anaelekea Kuvunja Ndoa yangu Sasa

Nipo kwenye lindi la mawazo kuhusu housegirl wetu ambae nilimpa mimba kwa bahati mbaya. Mimi nina mke na familia yangu huyu binti sasa anataka nimfanyie kitu mbaya maana mimba hataki kuitoa na kuondoka kagoma na muda unazidi kwenda mwishowe itaanza kuonekana

Sasa hivi anashinda kwenye TV tu na remote kazi hataki kufanya yote tisa, kumi sasa juzi Jumamosi usiku katumwa kazi na wife unaambiwa kamfanyia wife kiburi kisichosemekana katumwa akalete kitu dukani akakataa live akaambiwa akapike akakataa, akaanza kuongea kwa mafumbo huku akienda chumbani mimi nilikua bar kwenye mambo yangu.

Yanga Yafanya Maamuzi Magumu ..Yawatema Hawa Wachezaji Saba

BENCHI la ufundi la Yanga chini ya Mdachi, Hans van Der Pluijm, limedaiwa kufanya maamuzi magumu ambayo kwa namna moja au nyingine, yatawashangaza wadau wengi wa klabu hiyo.

Imedaiwa kuwa kocha huyo ambaye ameiongoza Yanga msimu huu kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara, amependekeza wachezaji saba kuondolewa kutokana na mchango yao finyu msimu mzima, akiwemo mchezaji mkongwe wa klabu hiyo, Jerry Tegete na Danny Mrwanda aliyetua katika usajili wa dirisha dogo msimu uliopita akitokea Polisi Moro.

Habari za kuaminika kutoka Yanga zinasema kuwa mbali na Tegete na Mrwanda, nyota wengine ambao wamepitiwa na panga la kocha huyo mwenye msimamo mkali ni Nizar Khalfan, Rajab Zahir, Hussein Javu, Edward Charles na Hassan Dilunga.
Habari zinasema kuwa walio na mikataba watatolewa kwa mkopo, ambao ni Dilunga na Edward

Shilole Ajitetea...Adai Amesikitishwa na Mtu Aliyempiga Picha Huku Maziwa Yake Yakining'inia NJE


Baada ya picha chafu za Shilole kusambaa mtandaoni hadi kupelekea BASATA kumuandikia barua ya onyo, muimbaji huyo wa ‘Nakomaa na Jiji’ amevunja ukimya.

Shilole amesema kuwa hata yeye hakupenda kile kilichotokea jukwaani wakati akitumbuiza Ubelgiji hivi karibuni, kwa sababu ilikuwa bahati mbaya na hakudhamiria kukaa uchi kama wengi wanavyosema.

Shishi ambaye ni mama wa watoto wawili amesema kuwa nguo mpya aliyoivaa siku hiyo ndio ilimponza kwasababu hakuwa ameifanyia majaribio ya kutumbuiza akiwa ameivaa.
UKATILI..!! MUME AMNYONGA MKEWE, KISA WIVU WA MAPENZI!

UKATILI..!! MUME AMNYONGA MKEWE, KISA WIVU WA MAPENZI!

Stori: Waandishi Wetu INAUMA sana! Katika kinachoonekana kama ni wivu wa kimapenzi, dada mmoja aliyefahamika kwa jina la Magdalena Lucas ( 23) ameuawa kikatili na ‘mumewe’ aliyetajwa kwa jina la Stephano Lucas (28) nyumbani kwao maeneo ya Mbezi Luis jijini Dar es Salaam wiki iliyopita baada ya kupigwa na kitu kizito kichwani na mwili wake kufungiwa chumbani kwa siku tatu.
AMFUMANIA MUMEWE, AVUA NGUO NA KUTEMBEA UTUPU MTAANI

AMFUMANIA MUMEWE, AVUA NGUO NA KUTEMBEA UTUPU MTAANI

HATARI! Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Tatu Ikoko mkazi wa Mwananyamala jijini Dar, hivi karibuni alifunga mtaa kwa kutembea bila nguo baada ya kumfumania mumewe akiwa na mwanamke mwingine.
Mwanamke anayejulikana kwa jina la Tatu Ikoko akitishia kusaula mbele ya watu.
Chanzo chetu cha kuaminika kilisema mwanamke huyo aliondoka nyumbani kwake usiku wa Ijumaa iliyopita na aliporejea asubuhi, alimkuta mwenzake akiwa na kigori mwingine ndani ndipo alipopagawa.
“Alitoka usiku mzima akarudi saa moja asubuhi akamkuta bwana’ke yuko na mwanamke mwingine ndani,  akaanzisha vurugu, akavua nguo na kubaki na kanga moja na kuanza kupita mtaani huku akisema nivue nisivue na watu wakawa wanamuitikia vua.

MAKALIO YANGU YANANITESA WANAUME WANANISUMBUA SANA".......AUNT LULU



Mwigizaji Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kioja cha aina yake baada ya kuibuka na kusema kuwa makalio yake yanamtesa akidai anasumbuliwa sana na wanaume wanaovutiwa nayo faragha. 

CHUNGA SANA WANAWAKE/WASICHANA WA AINA HII NI HATARI SANA KUWA NAO KIMAPENZI.


Hakikisha unawakwepa aina hii ya wanawakeili usijiingize kwenye matatizo. Nitakwambia ni kwa nini…..1.Demu wako wa zamaniNi vizuri kutorudia mahusiano ya zamani na zaidi kama kwenye mahusiano yenu ya mwanzo mambo hayakuishia kwa uzuri. Sababu kuu ya msingi, kiukweli ni kwamba hakika mwanzoni mlikuwa hamuendani na ndio sababu ya iliyopelekea kuvunjika kwa mahusiano yenu, ndani ya hizo sababu kuna vitu vilivyopolekea kutokea kwa hayo, ukichunguza na kuziangalia kwa makini

MAKAHABA: TUNALAZIMIKA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE TUKIWA PERIOD


Hivi karibuni iliripotiwa kuhusu kushamiri kwa Biashara ya Ngono katika Maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam  na  jinsi  serikali  inavyolishughulikia  tatizo  hilo  linalokua  kwa  kasi....

Wakihojiwa  kwa  nyakati  tofauti, baadhi ya wasichana wanaojishughukisha na biashara hiyo wameelezea changamoto mbalimbali wanazokutana nazo katika kazi hiyo hususani nyakati za usiku.
Wakizungumzia adha wanazokutana nazo Wasichana hao wamesema kuwa licha ya kukabiliwa hali ngumu ya maisha iliyopelekea kuingia katika biashara hiyo, bado wamekuwa wakikutana na matukio mabaya ikiwemo kukamatwa na kuingiliwa kinguvu na baadhi ya watu wanaojitambulisha kwao kuwa ni askari wa Polisi jamii. Mbali na hilo Wasichana hao wamesema hali ngumu ya Maisha imekuwa ikiwalazimu kufanya mapenzi kinyume na maumbile wanapokuwa kwenye Hedhi, pasipo kujali hatari ya kukumbwa na maradhi yoyote.
DIAMOND ASEMA ALI KIBA ANAKULA MAKOMBO YAKE AMABYE NI JOKATE!

DIAMOND ASEMA ALI KIBA ANAKULA MAKOMBO YAKE AMABYE NI JOKATE!

Shani Ramadhan na Chande Abdallah
 DONGO! Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amemuita mpenzi wake wa zamani Jokate Mwegelo kuwa ni makombo na kudai kama zilipendwa huyo anatembea na hasimu wake Ali Kiba, hakuna jipya kwani anakula makombo, Risasi Jumamosi linakupa mchapo kamili.

Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.
 Diamond ametoa kauli hiyo Jumatano iliyopita wakati mwanahabari wetu alipotaka kujua anajisikiaje kuona wapenzi wake wa zamani Jokate na Wema Sepetu ‘Madam’ wanamuunga mkono Ali Kiba.
WADADA WA BONGO MPOOO!? IVORY COAST YAPIGA MARUFUKU MIKOROGO

WADADA WA BONGO MPOOO!? IVORY COAST YAPIGA MARUFUKU MIKOROGO

Wizara ya Afya inasema inadhuru afya ya watumiaji
Ivory Coast imepiga marufuku uigizwaji uuzaji na usambazaji wa bidhaa zozote zenye uwezo wa kuchubua rangi ya ngozi ya binadamu .

Katika taarifa kwa vyombo vya habari Wizara ya afya imetangaza kuwa ni haramu kuingiza bidhaa hizo katika namna yeyote iwe ni vipodozi ama matembe kwa sababu ya athari zake kwa afya.
Bidhaa nyingi za kijichubua rangi ya ngozi zinauzwa katika taifa hilo la Magharibi mwa Afrika.
Marufuku hiyo inaharamisha uingizwaji wa vipodozi ,mafuta, na tembe zenye madini ya zebaki na vyuma vinavyotumiwa kuchubua rangi pamoja na kemikali zingine nyinginezo.

BASI UNAAMBIWA HAWA NDIO WASANII WENYE PESA NYINGI ZAIDI HAPA TANZANIA...!HII NI KWA MUJIBU WA TOVUTI ZA KENYA!

When it comes to money, Bongo music is one of the most lucrative but you’d never tell that listening to the artistes pour their hearts out for their loved ones. Bongo Flavour acts rake in the money in truck loads and they don’t spend it on bling only, they invest their money. Sylvia Ambani and Herieth Makwetta looked at some of the richest acts in Tanzania.

1. NASEEB ABDUL (DIAMOND)

He stayed in the shadows for long looking for a break but now that the limelight has been trained on him, he has proved that he belongs at the top of the music charts. He finally made a debut in 2009 with his hit song “Kamwambie”.

He is one of the most expensive musicians not just in Tanzania but the region and this does not seem to put promoters off as he is on the stage on a weekly basis. Want him for a show, you will have to pay him $4000 (Sh350,000). And that’s after a bargain.