YEMI ALADE! ASHUTUMIWA VIKALI MTANDAONI KUHUSU MKOROGO...

Mwanamuziki wa Nigeria, Yemi Alade.
Lagos, Nigeria
IMEKUWA mtindo kwa mastaa weusi kujichubua ngozi zao na kuzifanya nyeupe.  Mmoja wa wanamuziki wa Nigeria, Yemi Alade, amejikuta akisakamwa na shabiki mmoja kwa kutumia mkorogo.
Yemi Alade.
Alipotuma katika mtandao wa Twitter picha mbili za mwanamuziki huyo aliyevuma kwa wimbo wake wa ‘Johnny’ – picha moja ikimwonyesha alipoanza kujikita katika muziki zamani na picha ya sasa ambayo amekuwa mweupe.
Picha hizo zilitumwa Mei 18 mwaka huu.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »