TANZIA:SIMANZI ZATAWALA YAMOTO BAND KWA MSIBA MZITO!!,pata habari kamili hapa

Enock Bella ni mwimbaji kutoka band ya Yamoto ambapo mama wa msanii huyo alifariki jana hospitali wakati akijifungua hukohuko Zanzibar, maziko yamefanyika Zanzbar pia maeneo ya Ufufuma Chwaka jioni ya May 13 2015.

Enock 





Aslay wa Yamoto Band ni miongoni mwa waliokwenda kwenye maziko.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »