Madenti wa chuo kimoja town wamenaswa wakijiachia live bila aibu katika kile walichokiita kujipongeza baada ya kumaliza mitihani ya chuo maarufu kama UE.
Madenti hao ambao wanachukua masomo ya uinjinia ambayo ni magumu ajabu waliponda raha katika baa moja hapa town ambapo waliandaa pati waliyoiita pen down party..