Yusta dada wa kazi alokuwa akiteswa na boss wake kwa muda wa miaka mitatu. Boss mwenyewe ndio huyo bidada hapo juu wala hafananii na unyama alokuwa akiufanya kwa mtoto wa watu.
Anaitwa Amina Maige au Amina kumeza Yupo segerea na kesi yake ipo mahakamani