Bonge la laana hili, Binti amtumia baba yake picha yake ya uchi Jionee Full kila kitu Hap



Majibizano ya binti na baba yake kwenye mtandao wa Twitter baada ya kutuma picha ya uchi.
Binti Nymah Amhar Cousar.
Mwanafunzi wa chuo anatamani angeweza kurudisha mshale nyuma baada 
ya kukosea kutuma 
ujumbe wa 
uchi kwa baba yake – badala ya kwa mpenzi wake.
Nymah Amhari Cousar mkazi wa Inglewood, California, alituma picha yake kwa
 ‘Daddy’ yake wakati akiwa 
bafuni badala ya kwa mpenzi wake “Dasquan.” Hiyo ni kwa mujibu wa mtandao
 wa Twitter.

Majibizano ya binti na baba yake kwenye mtandao wa Twitter baada ya kutuma
 picha ya uchi.
“OMG (Ooh my God), nitakataje ujumbe huu!!!” aliandika kwa woga.
Akiwa amejifungia bafuni, baba yake alitaka afungue mlango. Alipokataa, alisema 
yupo chooni: Oh 
ushapata aibu zote sasa! Fungua mlango!.
Mazungumzo ya mwisho yanaonyesha kumaliza ugomvi kati ya baba na mwanaye.
Mazungumzo ya mwisho yanaonyesha kama kumaliza ugomvi kati ya baba na
 mwanaye.
Nyjah alimuacha baba yake aingie ndani, alikuwa na hasira kwa binti yake
 kumkosea heshima”
Baba yake alisema huo sio mchezo, kwani alitakiwa awe shuleni. Na ndipo
 alipomuuliza kuwa alikuwa 
anamtumia nani hiyo picha.
Ujumbe wa baba kwa binti baada ya kujaribu kumpigia binti bila mafanikio.
Ujumbe wa baba kwa binti baada ya kujaribu kumpigia binti bila mafanikio.


CHANZO:KIDOTZ BLOG


Share this

Related Posts

Previous
Next Post »