UTAJIRI UNA MAMBO! Tukio limetokea Sakina asubuhi hii Leo 5.6.2014.... nyoka mkubwa (pembezoni kulia mwa jagi lenye Ua) akutwA nyumbani kwa Tajiri mmoja akiwa amefungwa kitambaa chenye maandishi ya Korohani, akitoka kwenye GOROFA La tajiri huyo ambaye yupo safarini kwa sasa , watoto wakapiga kelele watu wakajazana, Watoto wakampigia Baba yao simu Baba akawakataza Kata-kata Wasimuue! Mwenye nyumba naskia anaitwa Magesa ana kampuni ya clearing and fowarding nasikia ana hela balaa.
Nyoka huyu mara baada ya kuuwawa. sijui itakuwajeee
