Kali:Mchungaji Awasugua Matiti Wadada Kuwaombea Waweze Kuwa na Uwezo wa Kupata Watoto


 

Kila Siku zinavyoenda Vioja vinavyofanywa na Wachungaji wa Dini Vinaibuka , Baada ya hivi Karibuni mchungaji mmoja kuwalisha Nyasi Wafuasi wake Mwingine Ameibuka Nchini Kenya Akidai kuwaponya Wanawake ambao hawapati watoto Kwa Kuwasugua Matiti yao Huko Akiwaombea Katika ofisi yake....End of The World...!!

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »