kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

  1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:     
 (a)Miili yetu imepitwa na wakati,   
  (b)Labda wanadhani tutashindwa mechi.

 2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?     
 (a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba, 
   (b)Tuanze kuwatongoza wanaume.      NALILETA MEZANI TULIJADILI. Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »