MREMBO CLARA AKIWA KATIKA POZI MWANANA
Naitwa clara nina mcumba wangu ambaye ananigaramia kwa mambo yote hapa chuoni ila tatizo sio handsome alafu ni mzee ananizidi miaka kama 10 hivi!Lakini sa hivi nimepata serengeti boy handsome lakini hela hana kama

yule mbaba! mi ningependa kuwa na mpenzi mmoja ambaye ndo huyu handsome lakini nahofia sitapata hela za matanuzi tena na siku yule mzee akindua kuwa nawachanganya ataniacha! nimeshindwa nifanyeje sababu hela napenda na huyu handsome nampenda vilevile! naombeni ushauri wenu jamani
badala ya ushauri hebu toa comment zako
badala ya ushauri hebu toa comment zako