
MWANAMUZIK mwenye vituko kila kukicha Bongo, Baby Joseph Madaha, ametoa dukuduku lake la moyoni na kusema kuwa kila kukicha anayatamani mapenzi ya Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond’ kama angekuwa yeye.“Kiukweli nikiwaona hawa watu nasikia mpaka wivu na kuna wakati natamani niwe mimi amani maana sifikiri kama kuna ‘kapo’ kali hapa Bongo kama hii jamani, naitamani hadi basi,” alisema Baby.