
Huu ni mwishowa dunia! wanaume wanne ambao majina yao hayakuweza kujulikana mara moja,hivi karibuni walikutwa wakila uroda kwenye kichaka na kuzusha sintofahamu kwa miongoni mwa walioshuudia.
Tukio hili ambalo limetokea maeneo ya Imo state ,Nigeria,liliwaera mashuhuda ambao waliamua kuwashushia kipondo kizito vijana hao na kuishia kuwapeleka polisi
Hata hivyo,kilichostaajabisha zaidi ni kwamba pamoja na kibano kikali walichotembezewa mashoga hao,ilipotokea waliachiwa huru kidogo tu kusudi wakaanza kufanya mchezo wao mchafu.
Baadhi ya watu walisema kwamba tukio hilo si la kawaida huenda nguvu za giza ziliwaangia vijana hao.
Walipofikishwa polisi wanausalama walilazimika kuwapigia simu ndugu zao ili kujiidhirisha wehu au walikuwa na akilitimamu ili wajue hatua za kufanya