MSANII JOKATE KIDOTI AWAOMBA RADHI MASHABIKI WAKE..SOMA HAPA

Jokate Mwegelo ambaye hivi karibuni alishoot video ya wimbo wake wa kwanza kama msanii wa muziki nchini, ametoa sababu za kwanini mpaka sasa video wala wimbo huo havijafanikiwa kutoka.
Jokate a.k.a Kidoti amesema kuwa video aliyoshoot Kenya imechelewa kwasababu kuna vitu ambavyo hakuvipenda katika video, hivyo vimechukua muda kurekebishwa ili kupata kitu bora zaidi.“Kuna delay zilitokea kwenye utayarishaji kidogo,sikupenda end product.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »