Picha,Tattoo mpya ya Shilole kwenye mkono wa Nuh Mziwanda



                                                                 Nuh Mziwanda ameongeza tattoo nyingine kwenye mkono
wake,Tattoo hii ni picha ya shilole, hii picha tuliyopata,mwanamziki huyu ambae ana uhusiano wa kimapenzi na mwanamziki wakike shilole alionyesha mchoro huo kwenye kipindi kimoja cha tv siku ya ijumaa.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »