Baada ya Mrembo Rayuu Ambaye ni Mwigizaji katika Tasnia ya Bongo Movies
Kukaa Kimya kwa Muda Mrefu Mitandaoni kwa Kuweka Picha zenye
Utata..Safari hii Amekuja na Mpya Ambapo ameweka picha akiwa na mwanaume
kitandani kwenye mikao ya kimahaba huku mvulana huyo akiwa amejichora
Tattoo ya Jina lake kuonyesha ni mtu wake wa karibu aka Mpenzi... Angalia Picha Hizo Hapo chini na utoe Maoni yako: