
Raia wa iran ambaye anaumri wa miaka 80 yasemekana hajawai kuoga miaka 60 tokea aache alivyo kuwa kijana.muonekano wake ni kama mtu alieugua ugonjwa wa ngozi kwani hata ukimwangalia unawezakudhani anamatatizo ya ngozi kutokana na muonekano wake na harufu anayoitoa.