Baada ya Mambo kuwa magumu kwa wasafirishaji wa madawa ya
kulevya.Sasa wamegundua njia mpya ya kusafirisha madawa yakulevya kwa kuwatumia waja wazito kwa kuwa huwa hawakaguliwi
kwenye x ray za airport ....siku za karibuni wamekamatwa wanawake
kadhaa wajawazito ambao walikuwa wamemeza madawa ya kulevya
...Njia nyingine inayotumika ni kusafirisha madawa
hayo kwa kutumia Cargo ambayo ni mizigo mikubwa ambayo huwekwa
nyuma ya
ndege chini