Staa wa Bongo Movie Kajala Masanja ambaye mpaka sasa inasemekana ukaribu wake yeye na Wema Sepetu bado wakusuasua kutokana na sababu iliofichika ,chanzo chetu cha kuaminika kimembamba Kajala akikosha nafsi yake baada ya kusingiziwa sana kuwa anachukuwa wanaume wa watu hivyo kajala amejibu mapigo kwa kujinyakulia kijana mdogo anaye tambulika kwa jina la ‘Medy’ kwa ajili ya kumkosha moyo.
EXCLUSIVE:PICHA TATA ZA KAJALA ZANASWA KUWA WA KWANZA KUZIONA