DUH!!! HAYA NDIYO MAWAZO YA MWANAMKE PALE ANAPOKUTANA NA H-SOME BOY... JIONEE HAPA


  • Kwanza kutazama tembea yako,kisela au kiheshima ili ajue kama una kazi au laa
  • Kama nguo zako zimefubaa basi unatembea juani na kama nguo zimejikunja basi hata pasi huna
  • Nakama viatu vina vumbi basi moja kwa moja inaonyesha gari huna
  • Kama pesa hutoi kwenye waleti basi hujazoea kuwa na pesa na hata lakimoja hujawahi kuwa nayo
  • Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hata hug au romance hujawhi pata kokote
  • Kama nywele huja chana inaonekana hujitunzi na hata zake hutoweza kugaramia
  • Ukiongea nae mda mrefu na maswali mengi basi una mtaka ila huelewi uanzaje kidume
  • Ukimshika au ukimgusa popote basi unamtaka kimwili
  • Kama nguo zako mkanda wa suruali na viatu havi machi basi pia moja kwa moja hujielewi na hujawahi kuwa na mwanamke
  • Usipomtazama machoni hujiamini na inaonekana muongo

    Share this

    Related Posts

    Previous
    Next Post »