JE KUMPIGA PICHA AU VIDEO ZA UCHI MPENZI WAKO NI SAHIHI...??


Kuna  kitu  kinanitesa sana kimawazo.....,Hivi kama una mchumba unaetarajia kumuoa  au  kuoana unaweza kumpiga picha za uchi au video za uchi? Mdada kama Mchumba wako anakupiga picha za uchi unajisikiaje ?

Nani sasaivi ameoa au ameolewa na alimpiga mke wake picha za uchi enzi ya uchumba?

 Nakaribisha  maoni  yenu  wadau....

Andika comment hapo chini....

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »