NIMERIKODIWA VIDEO YA **** IKIONYESHA KILA KITU,BILA HATA KUJIJUA NIFANYEJE NA DVD IPO MTAANI??

 
Wadau natumaini mu wazima Mi ni mjasiriamali toka Arusha but huwa nakuja Dar kwaajili ya kuchukua bidhaa, nikiwa Dar napenda kujibururdisha aama MEEDA au KONA BAA/AMBIANCE AFRIKA SANA huwa nikipata demu wa kupiga nampelekaga Guest/hotel niliyofikia tunafurahia "game" asubuhi namlipa chake anatambaa.

Sasa katika kuingia guest kadhaa za hapa Dar nimegundua hawa jamaa wa guest wanaweka SECURITY CAMERAS kuanzia kwenye parking, kwenye korido, karibu na milango, vyumbani hadi bafuni. Je, ni haki kuweka security camera hadi vyumbani/bafuni?

Jana nikiwa kwenye foleni Magomeni Mapipa dogo mmoja akaja na DVD kibao za dini, chini yake ameweka DVD ya X ina picha ya WEMA nikainunua ile kufika hotelini nikaweka kwenye laptop katika Clip Mojawapo najiona mimi na demu niliyemchukua week Mbili zilizopita.
 

Hakika nilichoka, sijui cha kufanya nishaurini wadau.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »