1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a)Miili yetu imepitwa na wakati,
(b)Labda wanadhani tutashindwa mechi.
2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume. NALILETA MEZANI TULIJADILI. Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?