MAHABA>>>>MAPENZI KWA NJIA YA MDOMO HUSABABISHA KANSA HII MDOMONI !.

Tahadhari sana,tunajuwa kuwa yapo mapenzi ya aina nyingi sana,lakini hii yote ni katika kuleta radha kwenye kitanda tu ili kila mmoja afurahie mahaba uwapo chumbani,lakini ikumbukwe kuwa,ufanywaji wa mapenzi kwa njia ya midomo,kuna ugonjwa ambao kwa sasa ni tishio sana,ni aina ya kansa ambayo inatambaa taratibu ndani ya kinywa  na hii husababishwa na mapenzi kwa njia ya midomo,zingatia usafi wa kina kwenye sehemu zako za siri,na uwe makini kwa mtu unaemfanyia aina hii ya mapenzi kuwa anausafi wa kiasi gani unapawa kuchunguza vizuri sehemu zake nyeti kabla hujaanza kutoa huduma hiyo,

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »