NISHEEEDAH: [PICHAZ] MUIGIZAJI MAARUFU AKUTWA AKIFANYA MAPENZI NDANI YA GARI.....JIONEE MWENYEWE HAPA...


Ukweli haufichiki daima labda kuuchelewesha tu! Ndicho kinachomkuta muigizaji wa kike wa filamu ya ‘Django Unchained’ wa Marekani, Daniele Watts aliyewapa wakati mgumu polisi wa Los Angeles kwa kuwatuhumu kumnyanyasa na kumfanyia ubaguzi wa rangi alipokuwa na mpenzi wake Brian James.


Awali Daniele alisababisha matatizo kwa polisi hao baada ya kuonekana katika picha akiwa analia mbele ya polisi hali iliyoaminika kuwa alikuwa anaonewa.
Lakini TMZ wamepata picha na ushahidi kutoka kwa shuhuda wa tukio hilo ambaye ameeleza kuwa aliwaona Daniele na mpenzi wake Brian wakiwa katika harakati za kufanya mapenzi kwenye gari.
Picha hizo zilizochukuliwa katika eneo la tukio siku ya Alhamisi zinaomuonesha Daniele na Brian wakiwa wameegesha gari, mlango mmoja ukiwa wazi wakifanya kilichokatazwa kisheria.
Inaelezwa kuwa mtu mmoja aliyeliona tukio hilo aliwaita polisi na kila kitu kiliwekwa wazi muda huo. Katika sauti iliyonaswa na TMZ, muigizaji huyo anasikika akiwasumbua polisi hao kwa maneno na kutumia 'F-Word' kwenye sentensi zake
.

Katika sauti nyingine iliyonaswa na Mail Online, Daniele anasikika akimwambia polisi aliyemfunga pingu kuwa anajua haki zake kutokana na uzoefu alioupata katika uigizaji. 
Daniele Watts alicheza uhusika wa poliso katika comedy ya ‘Weeds’ ya mwaka 2012

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »