AAAAABUUU: MARIA CAREY APIGA SHOW UKU NYETI ZAKE ZIKIWA NJE NJE ONA HAAPA>>>


Ni hivi karibuni tu aliachana na mume wake, Nick Cannon baada ya kuishi kwa miaka sita lakini Mariah Carey hajataka kuruhusu matatizo yake binafsi yaathiri muziki wake na ndio maana yupo kwenye ziara barani Asia. 




Muimbaji huyo mwenye miaka 44 Jumapili hii alikuwa na show huko Chengdu katika jimbo la Sichuan, China na kuwapa si tu burudani lakini pia kuwaonesha kufuli lake nje nje.





Share this

Related Posts

Previous
Next Post »