KAMANDA NA ASKARI WAKE WAFUMANIWA LAIVU WAKIVUNJA AMRI YA 6 PASAKA HII, SOMA HAPA MCHEZO MZIMA.

Kamanda akiwa katika hali ya sintofahamu baada ya kunaswa akiwa na askari wake ambaye ni mke wa mtu.
KAMANDA wa kampuni moja ya ulinzi ya jijini Dar es Salaam (jina
tunalo), Japhet Misana ambaye pia ni mkuu wa kitengo cha mafunzo cha
kampuni hiyo, Alhamisi iliyopita wakati Wakristo wakiwa kwenye hekaheka
za Sikukuu ya  Pasaka, alinaswa gesti akiwa na askari wake ambaye ni mke
wa mtu.
Kamanda huyo na askari wake (jina tunalo) walijichimbia kwenye gesti hiyo iliyopo Tabata Matumbi, Dar kwenye chumba namba 6.
Kamanda wa kampuni ya ulinzi, Japhet Misana akivaa baada ya kunaswa akiwa na mke wa mtu.

Ilidaiwa na chanzo chetu kuwa, kamanda huyo alianza kutokwa na ‘mate’
ya matamanio kwa askari wake huyo tangu alipofika kwenye kampuni hiyo

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »