KWANINI UVAE NGUO FUPI MWENYEWE HALAFU UKOSE AMANI: HI IMEKAAJE WADAU..!!

theclicktz.com
Umevaa nguo fupi mwenyewe na ulivyotoka nyumbani ulijiona umependeza umefika njiani unaanza kuhangaika kuishusha kuziba mapaja au sehemu iliyo wazi, kwani ulivyo vaa hukulijua hili? Kama umea amua kuvaa vaa na ujiamini, ukianza kuhangaika nayo unaoneka muhuni , au mshamba. Vaa kitu kitacho kufanya uwe comfortable. mwili ni wako nguo ni zako pia maamuzi ni yako kwanini upate shida..???

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »