Mpenzi Wangu wa Zamani Ananiomba Nimwongezee Njia ili Azae Bila Shida

Kwa sasa mimba ina miezi 5 kwa madai yake na ananiomba eti niwe namwongeza njia ili kujifungua kuwe kurahisi wakati mimi nilishamwacha Zamani Sana

Naombeni ushauri waungwana nifanyeje hapo?

Kila siku ananisumbua kwa simu na message

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »