unachokiona hapo sio maigizo wala nini ni raia mmpja kwa jina rashidi akiogelela kwenye dimbwi chafu la maji baad ya kukamatwa na mwanajeshi mmoja maeneo ya kariakoo akiwa amevaa gwanda za jeshi wakati yeye sio mwanajeshi baada ya kuamriwa atoe kitambulisho akiwa ametoa tu macho ndipo adhabu hiyo ikafuata .
MWANAJESHI AMWOGELESHA RAIA KWENYE DIMBWI LA MAJI MACHAFU BAADA YA KUKUTWA NA SARE ZA JESHI