Muimbaji mahiri wa bendi ya Twanga Pepeta, Amigolas amefariki dunia usiku wa kuamkia Jumapili hii.
Amigolas alikuwa amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa moyo.
Mungu ailaze roho yake mahali pema.