Huyu ndo Billionea kijana (Dogo)mwenye madharau Dar es salaam anayekimbiza Bongo nzima

Dogo anasumbua sana instagram kwa nyodo nyingi sana kwamba yeye hakuna wa kumfikia bongo kwa jeuri ya hela. kwa anayemjua vizuri huyu billionea atujulishe na sisi ili tu jifunze kutoka kwake jinsi ya kupata pesa
.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »