LORI LALIPUKA MIKUMI MKOANI MOROGORO



 
Lori lililokuwa limebeba mapipa ya lami likiteketea kwa moto baada ya kulipukoa mapema leo asubuhi maeneo ya Mikumi mkoani Morogoro. Chanzo cha mlipuko huo bado hakijafahamika.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »