Aliewahi kuwa miss Sinza 2011, Husna Maulid ameingia kweye kashfa nyingine tena baada ya picha zake za utupu kuvuja mitandaoni.Picha hizo ambhazo zinaoneka kuwa zilipigwa na proffesional photographer zinamuonyesha akiwa katika pozi tofauti tofauti zimeenea katika mitandao kuazia siku ya jana mpaka leo hii.