LAANA!! Muigizaji Wa Kike Wa NOLLYWOOD Avujisha Picha Zake Za Nusu Uchi Alivyosheherekea Xmas, Jionee hapa.

Muigizaji Nyota wa kike wa Nollywood nchini Nigeria Cossy Orjiakor, leo ametupia picha zake mbili kwenye ukurasa wake instagram aliwa amevalia nguo za nusu uchi ambazo ni ishara za mavazi ya christmas. Picha hizo alizoweka ziliambatana na maneno yasemayo "This is how it was" yaani akimaanisha "hivi ndivyo ilivyokuwa" akiwa na maana ndivyo alivyosheherekea sikukuu ya Christmas akiwa nusu uchi.

Picha zake hizi kiimaadili sio nzuri kutazamwa hasa na watoto walio na umri chini ya miaka 18 ukizingatia ameziweka kwenye mtandao wa kijamii ambao uangalizi wake wa watumiaji kwa mtandao kiumri ni ngumu kusema unazingatiwa.
Hii ni laana kwa dunia ya leo kwa mtu mzima mwenye akili zake timamu kuvaa nguo za aina hiyo kisha kupiga nazo picha, mbaya zaidi kuziweka kwenye mtandao wa kijamii ambapo mwisho wa siku faida yake ya kufanya hivyo haijulikani.

Share this

Previous
Next Post »