Ama kweli walio kwenye ndoa ndiyo wanaongoza kwa kufanya ngono au
michepuko,Mume amuua mke wake kwa kipigo baada ya kukuta picha za mke wake kwenye simu ya serengeti boy ambaye alikuwa anatabia ya kujivinjari na marehemu mke wake,jamaa alipewa taarifa kuwa mke wake na serengeti boy huyo huwa wanatabia ya kwenda gesti ya hapo jirani na kulana uroda