Nay Wamitegoameachia nyimbo yake mpya 'Mapenzi au Pesa' huku akimshirikisha Diamond Platnumz aka Dangote kwenye wimbo huo.
Hii ni mara yapili kwa wasanii hawa wawili kufanya collabo hiyo kabla ya hapo walishirikiana kufanya wimbo wa 'Mziki Gani' na kufanya vizuri huku nyimbo zote hizo zikifanywa na Producer Mr. T Touch kwenye studio za Free Nation studio.Bonyeza hapa chini kusikiliza wimbo huu