JAMANI TUMPE USHAURI UNAOSTAHILI HUYU BINTI...... MATUSI HAYARUHUSIWI!!!

Mimi naitwa NEEMA ni msichana wa miaka 18 Nasoma kidato cha tatu (form 3) jijini DAR-ES-SALAAM.... nimejitokeza kwenu kuomba ushauri

Mimi nina mpenzi wangu ambae yupo chuo kikuu cha UDSM, ana miaka 25... kutokana na mapenzi anayo nionyesha sitamani tena kuendelea na shule... kwani nikiwa darasani muda wote namuwaza yeye tu

Nilicho penda kutoka kwa huyu BOYFRIEND wangu ni kua ananijali sana na ana pesa kwan kwao wanajiweza kifedha... ananionga sana PESA kwani nikitaka hela ya CHIPS KUKU hua ananipa, hela ya lotion, pafyumu na saloon hua ananipa kila mwezi kwahiyo sina shida na shule wala sioni umuhimu wa shule.

NAOMBENI ushauri wenu jamani.. niwaambie nini WAZAZI wangu ili wanikubalie niache SHULE ili niolewe na huyu MWANAUME ?

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »