POLISI WA KICHINA ABURUZWA FIMBO NA KUFIKISHWA KITUO CHA POLISI BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU



police huyo aliyefikishwa  kituo cha police inasemekana alikutwa akiyafanya mambo hayo akiwa ndani ya gari la ofisi na huyo mwanamke.Police huyo mkazi wa kusini-mashariki mwa china jimbola guangdong aliejulikana kwa jina la guo chiu alikamatwa majira ya jioni na kundi la watu linalosemekana ni la mume wa mwanamke huyo aitwae LOK ME baada ya mume wa huyo mke kuhisi kuwa mke wake anafanya vitendo hivyo zaidi ya siku  nyingi.



 kundi hilo liliiaribu gari hiyo kwa marungu na kumtembeza jamaa huyo akiwa na boksa yake tu ikiwa kama ni moja wapo ya adhabu juu yake baada ya watu kumjua jamaa huyo ndio walipo mfikisha kwenye kituo cha police.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »