DIAMOND AFUNGUKA JUU YA YEYE KUWA NA MTOTO

diamondplatnumzLeo tulikuwa tunamtoa mtoto wetu mwingine toka kwa bwana #Moze_Iyobo na bi #Mwengi.... Eeh! Mwenyezi Mungu, wajaalie na hawa vijana wawili walio baki @emma_platnum na @tonser66wamalize haraka nao, ili Mtu mzima sasa nianze kufyatua copy zangu ��.. �������� au mda wangu Bado??? 

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »