HIKI NDICHO ALICHOKISEMA: VICTORIA KIMANI AJITETEA BAADA YA KUGOMBANA NA WEMA BAADA YA KUNASWA NA DIAMOND

Dimpoz 2

Hivi karibu ilivuma story ya Diamond kumpiga Wema sepetu baada ya Wema kuhusi kuwa Mpenzi wake Diamond Anatoka na Victoria kimani sasa hivi karibu Mwanadada Victoria kimani afunguka na kijijtetea kupitia ukurasa wake wa Instagram



Victoria-Kimani
"Mafans wangu wote, nawapenda sana sana. Nafanya kazi ya muziki kwa bidii na kwa sababu yenu. Nimepiga picha na wanamuziki wengi na wakubwa sana kote duniani. Na hiyo HAIMAANISHI KUNA MAMBO MENGINE YANAENDELEA NJE ya KAZI YA MUZIKI. Kwa hayo machache, ninafuraha sana kufanya kazi na wanamuziki wakubwa zaidi wa Bongo @ommydimpoz na @diamondplatnumz kwenye single moja. Mimi ndiye msanii wa kwanza wakike kufanya single moja na hawa wawili. Tunafocus na mambo makubwa zaidi ili East Africa iende mbele kimuziki. NAWAPENDA WOTE. Mimi wenu VICTORIA KIMANI”“

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »