Mtoto wa ajabu aibuka dar akitoa elimu kwa wananchi chombezozetu 1:58 PM chombezozetu Umati wa wakazi wa Temeke jijini Dar, jana walikusanyika kumshangaa mtoto, Salim mwenye umri wa mika 13 kufuatia uwezo wake wa kujua mambo mbalimbali sambamba na kutoa elimu akhera na dunia. Mtoto Salim akitoa elimu kwa wananchi. Share this Related Posts