VAI WA UKWELI ANOGEWA NA KITO**MBO CHA MPENZI WAKE, HAPIKI, WALA HAFANYI LOLOTE KAZI NI MIKASI TU

MSANII wa filamu Bongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ ametoa kali ya mwaka kwa kusema kuwa, licha ya kwamba sifa ya mwanamke ni kujua kumpikia mume mahanjumati, yeye hana muda wa kupika ila anajua jukumu lake ni kumstarehesha mpenzi wake tu.
Msanii wa filamu Bongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’.
Stori: Hamida Hassan

Akipiga stori na paparazi wetu, Vai alisema hawezi kutumia muda wake kupika awapo nyumbani kwani kazi hiyo hufanywa na hausigeli.
“Mimi nikiwa nyumbani sipiki, mpenzi…
HRAKATI BONGO BLOG Akipiga stori na paparazi wetu, Vai alisema hawezi kutumia muda wake kupika awapo nyumbani kwani kazi hiyo hufanywa na hausigeli.
“Mimi nikiwa nyumbani sipiki, mpenzi wangu akija kwangu tutanunua chakula, tutakula kisha tutaendelea na mambo yetu lakini siwezi kuingia jikoni kupika, kazi hiyo atafanya hausigeli,” alisema Vai.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »