Zaidi ya Shilingi milioni kumi na tano zinatarajiwa kutolewa kwa mtu atakaeweza kugundua sura na kumfahamu mwanaume anaeonekana kwenye video ndani ya gari akishiriki kumvua nguo dada huyo kwa kile walichodai hazikuwa na maadili mwasiasa wa zaman Bi ester wa Kenya ametangaza dau hilo wakati wa MAANDAMANO YA KINAMAMA YA MY DRESS MY CHOICE