Mrembo na mwigizaji Elizabeth Michael aka Lulu, mwenye “followers”
zaidi ya laki tatu kwenye mtandao wa INSTAGRAM, leo ameibuka na kuwapa
makavu baadhi ya followers wake ambao wamekuwa waki-mdis eti aweki vitu
vya maana….Lulu awambia…
“Pipo always have smthng to complain.....Sasa MTU Na akili yake
timamu anakuja ku comment on my post ohhhh Weka vitu vya maana
kweli!?nwei kwasababu SIKO ktk harakati za kubishana au kugombana
nitatoa ushauri tu.....
1.hiyo button Ya Ku follow Cdhani kama ina Sumaku kwenye jina langu useme imekuvuta,fanya uamuzi sahihi kabla hujabadilisha hyo blue kuwa green
2.This z ma personal acc....sio account Ya dunia Na Ndo maana hata wengi wenu mnao comment pumba post zenu ni za ovyo Lkn wala hatujawahi kuwalalamikia
3.Kama mtu unaona unahitaji kuona sana vitu vya maana unaweza ku follow BBC,CNN,ALJAZEERA kuna TBC,ITV Na vyombo vingi vya Habari Na huwa wana acc humu...!