Showing posts with label ufundi. Show all posts
Showing posts with label ufundi. Show all posts

HIVI NDIVYO VYAKULA VINAVYOREFUSHA UUME NA KUONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA


If you want to increase the size of your penis,
you are undoubtedly doing penis enlargement
exercises. However, to get the most benefit
from your workouts, you need to make sure
that your body is well-nourished. Eating the
right foods will help with increasing penis
size, improving your sexual performance, and
even improving the health of your penis and
prostate. Seven foods in particular will help
you get faster and better results from your
penis enlargement program. Here we go
ALSO READ:8 FOODS THAT INCREASE 5EXUAL
STAMINA
1) Cayenne Pepper

WAKAKA MPO:JE WAJUA JINSI WANAWAKE WANAVYOSABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME?..SOMA HAPA


Kesi ya wanaume kupungukiwa nguvu za kiume zimezidi kushika kasi, kiasi cha kufanya dawa za kuongeza nguvu hizo kuwa maarufu na zenye mahitaji makubwa katika jamii.

Waganga wa kienyeji wamekuwa wakitumia dawa hizo kama tiba ya msingi ya kuwavutia wateja kwenye biashara zao. Hii inaonesha kuwa tatizo hili ni kubwa miongoni mwa wanaume wengi katika jamii yetu.

Hata hivyo, utafiti unaonesha kwamba wengi kati ya wanaume waliowahi kutumia dawa za asili na zile za hospitali kuondokana na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume hawakufanikiwa kupata tiba ya kudumu, matokeo yake wamegeuzwa kuwa watumwa wa kila wanapotaka kushiriki tendo lazima wabwie ‘kolezo’ la kuwasaidia kuamsha hisia zao.

SIRI YA CHUPI NYEUPE NDANI YA PENZI KWA KINADADA



Nguo za ndani ziko za rangi mbalimbali ambazo nyingine huvutiasana na nyingine huwa hazivutii.Mara nyingi uzuri wa rangi hizi hutofautiana kati ya mtu na mtu kwani mwingine huona rangi nzuri ninyekundu wakati mwingine huona nyeusi.Licha ya utofauti huu lakini kuna ukweli flani kuhusu rangi nyeupe hasahasa ya nguo hizi za ndani kwa mwanamke,rangi hii huhusishwa na mambo yafuatayo.*Rangi hii hudhihirisha unadhifu na usafi alionao mwanamke husika kwani kama mwanamke usafi kidogokwake ni mtihani basi katu hawezi kuthubutu kuvaa chupi au nguo yoyote ya ndani yenye rangi nyeupe kwani huficha uchafu wake.*Rangi hii humfanya mdada aonekane mwenye kung’aa na rangi ya ngozi yake ionekane dhahiri kutokana na mg’ao wa rangi nyeupe wa nguo zake za ndani alizovaa.*Nguo nyeupe hudhihirisha kujiamini na kujijali alikonako mwanamke husika kwani kupitia nguo nyeupe inaonesha jinsi mwanamke anavyojituma kuanzia kuzihudumia nguo hizo hivyo inaonesha hata katika mambo majukumu mengine ya kimaendeleo hujituma na huwa smart katika maamuzi. Ni wakati wako kama mwanamke angalau maramojamoja kuvaa nguo za ndani ambazo zina rangi nyeupe ili kuleta utofauti wa hisia pale muwapo chumbani na mpenziwako sio kila siku wewe ni chupi nyeusi tu mpaka mumeo au mpenzioanazikariri loo!

CHANZO:chinji

KWA WANAWAKE:JE BADO UNATUMIA VIPODOZI VIKALI KAMA CAROLIGHT ? HAYA NDIO MADHARA YAVIPODOZI KAMA HIVYO




















"Kujichubua ndio Habari ya Mjini ...Haha Hako kamsemo nakasikia sana mitaani kutoka kwa wasichana na kweli ukiangalia wasichana Wengi hasa mastaa wetu hapa Bongo Wamejichubua Ngozi na kuonekana Weupe..Mie siwakatazi ila nawapa Onyo tu ,


TAHADHARI: VYAKULA VINAVYOWEZA KUKULETEA UGONJWA WA SARATAN


UTAFITI mbalimbali uliokwishafanywa unaonyesha kuwa magonjwa mengi ya saratani (cancer) yanatokana na vyakula tunavyokula kila siku katika maisha yetu. Katika siku za hivi karibuni, ongezeko la magonjwa haya limekuwa kubwa kwa sababau vyakula vinavyosababisha magonjwa hayo, ndivyo vinavyoliwa sana kuliko vile vinavyozuia.
Wiki iliyopita tuliwaorodheshea baadhi ya vyakula vinavyoaminika kusaidia kuzuia magonjwa ya kansa ambapo wiki hii tunawaletea orodha ya vyakula vinavyoaminika kuongoza kwa kuwa chanzo cha magonjwa hayo hatari: